Wednesday, October 10, 2012
Sunday, September 16, 2012
Shughuli ninazozifanya nikiwa ofisini
Ninafanya shughuli zangu za kikazi za kujiajiri mwenyewe kila siku nafanya shughuli za ndani ya ofisi na nje ya ofisi kwa mahitaji yako ya kutengenezewa Computer, Huduma za Network, Internet Design, Kuchora ramani za nyumba na vipimo mbalimbali katika Mwonekano wowote kawaida, na utaweza jenga nyumba yako vizuri wasiliana nami nitakufikia ulipo.na katika upakaji wa rangi ni Design mzuri wa Rangi za aina mbalimbali.
Subscribe to:
Posts (Atom)